Jarida la Chama cha Lugha na Fasihi ya Kiswahili Tanzania (CHALUFAKITA)
Journal Descriptions
Jarida la Chama cha Lugha na Fasihi ya Kiswahili Tanzania (CHALUFAKITA) linamilikiwa na chama hicho ambacho makao makuu yake ni Dodoma,Tanzania. Jarida la CHALUFAKITA lilianzishwa na kusajiliwa tarehe 18/01/2018. Hili ni jarida la kimataifa linalochapisha makala zake mara moja kwa mwaka. Jarida linapatikana katika nakala ngumu pamoja na nakala tepe/mkondoni. Jarida hili limesajiliwa pia na African Journals Online (AJOL). Lengo la Jarida ni kuendeleza na kudumisha lugha ya Kiswahili na utamaduni wa Waswahili. Pia, linalenga kuwajengea uwezo wanataaluma katika kufanya tafiti na kuandika makala mbalimbali zitakazochangia maarifa mapya katika nyuga mbalimbali za lugha ya Kiswahili. Kwa hiyo, tunakaribisha makala kutoka pande zote za dunia zinazohusu Isimu ya Kiswahili, fasihi ya Kiswahili na utamaduni wa Mswahili. Chama cha Lugha na Fasihi ya Kiswahili Tanzania (CHALUFAKITA) Journal is owned by the stated association which is based in Tanzania; and its headquarter is in Dodoma region. CHALUFAKITA is an international journal which publishes its articles once a year. The Journal can be accessed online and a hard copy is also available.
Jarida la Chama cha Lugha na Fasihi ya Kiswahili Tanzania (CHALUFAKITA) is :-
-
International, Peer-Reviewed, Open Access, Refereed, Kiswahili Language, Swahili Literature, African Linguistics, Cultural and Literary Studies, various aspects of Swahili linguistics, literature, cultural expressions, It serves as an important platform for researchers, academicians, language experts to disseminate knowledge related to Kiswahili studies , Online or Print , Yearly Journal
- UGC Approved, ISSN Approved: P-ISSN P-ISSN: 2665-0789, E-ISSN: 2591-7013, Established: 2019,
- Does Not Provide Crossref DOI
-
Not indexed in Scopus, WoS, DOAJ, PubMed, UGC CARE